Swahili (Kiswahili) Nondiscrimination Statement

OB-GYN Associates, P.C. ametimiza mahitaji ya sheria za serikali kuu na hana ubaguzi wa kikabila, rangi, asili, umri, ilemavu ama jinsia. OB-GYN Associates, P.C.  habagui watu au kuwatumikia kwa njia tofauti kwa misingi ya kabila, rangi, asili, umri, ulemavu, ama jinsia.
OB-GYN Associates, P.C.:

  • Anatoa huduma za bure kwa walemavu kuwawezesha kuwasiliana nasi vizuri, kama vile:
    • Wafasiri wa lugha
    • Taarifa zilizoandikwa katika mitindo mbalimbali (maandishi makubwa, sauti, mitindo ya kielektroniki, mitindo mingineyo)
  • Anatoa huduma za bure za lugha kwa watu ambao lugha yao ya asili si Kiingereza, kama vile:
    • Wafasiri lugha waliohitimu
    • Taarifa zilizowasilishwa kwa lugha nyingine
Ikiwa unahitaji huduma za aina hii, wasiliana na Manager of Administrative Services at 319-368-5556. Ikiwa unaamini kwamba University of Iowa Hospitals and Clinics amekosa kutoa huduma hizi ama
amebagua kwa njia nyingine katika misingi ya kabila, rangi, asili, umri, ulemavu, ama jinsia, unaweza kutuma malalamishi kwa: Manager of Risk/Quality/Compliance, 855 A Ave NE Cedar Rapids, Iowa 52402, 1-319-368-5537, Fax 1-319-368-5503, Email: [email protected]. Unaweza kuweka malalamishi binafsi au kupitia barua, faksi, ama barua pepe. Iwapo unahitaji usaidizi kuweka malalamishi, Office of the Patient Experience anaweza kukusaidia.

Pia, unaweza kuweka malalamishi ya haki za kibinadamu katika U.S. Department of Health and Human Services (Idara ya Huduma za Afya na Jamii ya U.S.), Office for Civil Rights, (Ofisi ya Haki za Umma), kwa njia ya kielektroniki kupitia kwa Office for Civil Rights Complaint Portal, ipatikanayo katika “https://ocrportal.hhs.gov/ocr/portal/lobby.jsf, ama kupitia barua ama simu katika:


U.S. Department of Health and Human Services

200 Independence Avenue, SW

Room 509F, HHH Building

Washington, D.C. 20201

1-800-368-1019

1-800-537-7697 (TDD)

Fomu za malalamishi zinapatikana katika: http://www.hhs.gov/ocr/office/file/index.html

Contact Us